Top Stories

Tamko la ATCL juu ya ndege za Boeing za Tanzania baada ya ajali Ethiopia (+video)

on

Shirika la Ndege la Tanzania la wahakikishia wasafiri wanaotumia ndege zao kuwa ndege zake ni salama na ni tofauti na ndege ambayo inatiliwa hofu ya Boeing 737 Max 8 crash kwani ndege za Tanzania ni toleo tofauti na hiyo ya Ethiopia na ndege za ATCL ni ndege ambazo zinaaminika sana na inatumika katika mashirika mbalimbali duniani.

Hayo amesema Captain Saidi Hamad ambaye ni Mkurugenzi Uwendeshaji ATCL “Napenda kuwatoa hofu, hizi ndege ambazo tunazo ni toleo tofauti na hiyo ya Boeing 737 Max 8 crash, haya matoleo tuliyonayo yanatumika maeneo mablimbali duniani” 

MABORESHO ZIWA VICTORIA YANAYOFANYWA NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments