Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Nimejenga muda mrefu, inabomolewa bila fidia” – Profesa Jay baada ya nyumba yake kuwekwa X
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > “Nimejenga muda mrefu, inabomolewa bila fidia” – Profesa Jay baada ya nyumba yake kuwekwa X
Habari za Mastaa

“Nimejenga muda mrefu, inabomolewa bila fidia” – Profesa Jay baada ya nyumba yake kuwekwa X

August 4, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Moja ya story inayosambaa kwenye mitandao ni pamoja na hii inayomhusu Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ambaye nyumba yake iliyopo Mbezi kuwekwa alama ya X ikiwa ni miongoni mwa nyumba zitakazobomolewa ili kupisha upanuzi barabara.

Profesa Jay amezungumza kwenye 255 ya XXL ya Clouds FM leo August 4, 2017 na kuthibitisha kuwekewa alama ya X kwenye nyumba zao zikitakiwa kuvunjwa kutokana na kujenga ndani ya hifadhi ya barabara huku wakiungana kwenda kuiomba Mahakama iwapatie haki.

>>>“Ni kweli ni mewekewa X hapa tunatakiwa tuvunje kama ilivyokuwa kwa wengine. Tumeungana na majirani na watu wengine ikiwemo Serikali ya Mtaa, Mbunge wetu na Diwani kwenda kufungua kesi kuomba huu upana wanaosema kwamba wa barabara kupanua Mita 121.5 upo kinyume na utaratibu ambao na sisi tunaufahamu. Ni sehemu kubwa sana na watu wemgi wataathirika. Tunaamini kwamba haki inapatikana.

“Kitu ambacho tumekuwa tukikisisitiza hakuna mtu anayekataa kuhama kwa ajili ya maendeleo lakini unapomwambia mtu abomolewe nyumba yake kwa hiyo sheria iliyobadilishwa 2007 lakini ni sheria ya mwaka 1932. Hivyo kwa sheria kama hizo ni sheria kandamizi. Hii nyumba nimejenga muda refu sana kupitia muziki. Unapewa Laki Mbili unanunua misumari nyingine unakula bata. Si unajua enzi za ujana tulivyokuwa tunafanya.

“Kwa hiyo, tumejenga kwa taabu na ni miaka mingi sana, sasa unapokuja kuona kuwa inabomolewa siku moja inaangushwa wakati unasikia hakuna fidia, Serikali inabadi iangalie kwa jicho pana na jicho pevu kwa kuangalia kuwasaidia wananchi wengi ambao kiukweli wanaumia sana.” – Profesa Jay.

ULIPITWA: Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa J 

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Bongofleva, bongoflevanews, Profesa Jay
Victor Kileo TZA August 4, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 11: Muonekano mpya wa Mfanyabiashara Yusuph Manji leo Mahakamani
Next Article Wakili wa CUF baada ya Mahakama Kuu kulitupa pingamizi la Wabunge waliofutwa CUF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?