Top Stories

BREAKING: Mbunge Joshua Nassari avuliwa Ubunge kwa utoro

on

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemuandika barua, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Semistocles Kaijage kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa sasa liko wazi kufuatia, Mbunge wake Joshua Nasari (CHADEMA) kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo na hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge.

ISHU YA MAJI KUCHANGANYIKA NA KINYESI ARUSHA RC GAMBO AINGILIA KATI

Soma na hizi

Tupia Comments