Top Stories

Kauli ya Waziri Mpango kuhusu changamoto wanayopata kukusanya kodi (+video)

on

Waziri wa fedha na Mipango Dr. Philip Mpango wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17-2018/19 amelieleza Bunge baadhi ya changamoto za ukusanyaji wa mapato ikiwemo ugumu wa kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na ukosekanaji wa ajira.

Shangwe SUGU alivyochana mbele ya Waziri Mkuu, Wabunge wampa hela, Prof. J adata

Soma na hizi

Tupia Comments