AyoTV

VIDEO: Mambo ni moto !!! Haji Manara kabet na Shiboub laki tano

on

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Hamasa Haji Manara, ameongea na Wanahabari leo pamoja na Kamati ya Hamasa ya Wanahabari kueleka mechi ya Taifa Stars na Sudan kufuzu CHAN 2020, game ya Taifa Stars na Sudan itachezwa Jumapili ya Septemba 22 saa 1:00 usiku.

“Lazima twende tukashinde mechi na Sudan na katibu mechi hii sio kushinda tu kwa tofauti ya goli moja hapana tuwapige wale, juzi nilikuwa namtania Shiboub wewe usije mpirani kwa sababu wewe ni msudan hiyo mechi usimba wako na usimba wangu tunauweka pembeni tunakwenda kuzungumzia nchi”>>> Haji Manara

VIDEO: Moja kati ya magoli ya marehemu Jeba, hili liliwaumiza wana-Simba 2016

Soma na hizi

Tupia Comments