Videos

List ya video 8 za bongo zinazoendelea kupata airtime Trace na MTV Base

on

June 14 2016 nakusogezea list ya video 8 za Bongo ambazo zinaendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV, Tunafahamu kuwa Trace na Mtv Base ni moja kati ya vituo vikubwa vya TV Afrika, na ndio maana inawapa hamasa wasanii wa nyumbani kufanya video yenye viwango vya kimataifa.

Naanza kukusogezea list ya video ambazo zimechezwa kwenye vituo vikubwa vya TV Afrika, Trace TV na Mtv Base.

1. Ngoma hii ya Ali kiba -Lupela imechezwa leo Mtv Base, Video hii imewekwa youtube Feb 7, 2016 na imepata viewers 1,783,066 mpaka sasa.

20160614_140737

2. Mdundo huu wa Vanessa Mdee -Niroge imechezwa Trace Tv na Mtv Base inaendelea kufanya vizuri katika vituo hivi vya kimataifa imewekwa youtube  Mar 24, 2016 na mpaka sasa umeangaliwa na watu 735,460  mpaka sasa.

20160614_133655

20160614_192505

3. Ngoma ya Nedy Music ft Ommy Dimpoz imechezwa Trace Tv na imewekwa youtube  May 8, 2016 na mpaka sasa ina viewers 1,189,268.

20160614_205327

5. Navy Kenzo ft Vanessa Mdee -Game imechezwa Mtv Base na imewekwa youtube Jul 24, 2015 na kuangaliwa na watu 1,025,670 mpaka sasa.

20160614_135953

6. Ngoma ya Ali Kiba-Aje imechezwa Mtv Base na youtube imewekwa  May 19, 2016 na mpaka sasa ina viewers 1,591,267.

20160614_140038

7. Mayunga ft Akon – Please don’t go away imechezwa Trace Tv na imewekwa youtube May 20, 2016 na mpaka sasa ina viewers 350,561.

20160614_234432

8. Ay ft Diamond Platnumz – Zigo Remix imechezwa Trace Tv, video hii imewekwa youtube  Jan 22, 2016 na ina viewers 6,436,710 mpaka sasa.

20160614_143638

ULIIKOSA YA JACKLINE WOLPER NA HARMONIZE MAPENZI MOTOMOTO? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments