Top Stories

Mrithi wa Majimarefu akutana na vigingi, Viongozi wa Chama waumbuka (+video)

on

Mbunge wa Korogwe Vijijini Timotheo Mzava amewataka Viongozi wa Chama chake kuacha kuwadhulumu baadhi ya Wananchi kwa kuwaahidi ahadi ambazo hawawezi kuzitimiza na kuchukua pesa kwa kuwalaghai na michango ya shughuli za maendeleo.

Mzava ameyasema hayo wakati wa mkutano wake wa kumi na nane katika Kata ya Kwagunda yenye lengo la kujitambulisha kwa Wananchi hao na kuwapa shukran kwa kura walizompigia.

LIVE MAGAZETI: Watumishi wagoma, JPM tumeamua, Jeshi lamzuia

Soma na hizi

Tupia Comments