Top Stories

“Sehemu hamna kitu Mchungaji anahama, hata Baba utaitwa Mama” DC (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Busalama ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kuhamasisha kilimo cha Pamba ambapo amewataka kila mkulima kulima hekari mbili au moja kwa ajili ya chakula na nyingine kwa ajili ya zao la biashara.

Akiwa katika eneo la Igombemkulu Tarafa ya Ulyankulu DC Busalama amesema kilimo cha aina hiyo kitasaidi kuondokana na tabia ya kuuza chakula.

INJINIA HUYU ASUKUMIWA NDANI “WAZIRI UTAPATA BP UKIONA BANDA, LIMEJENGWA KWA MILIONI 100”

Soma na hizi

Tupia Comments