Top Stories

Sehemu ya mazoezi ya mafunzo ya kijeshi, wakila kiapo mbele ya Mabeyo (+video)

on

Ni hitimisho la mafunzo ya awali ya kijeshi kwa Kozi ya kuruti kundi la 39 la mwaka 2020, katika shule ya mafunzo hayo RTS Kihangaiko Msata, Bagamoyo Mkoani Pwani.

Askari wapya 3238 wamehitimu mafunzo haya ya miezi 6 kwa gwaride maalumu lenye gadi sita, ambalo kwa mwendo pole na ule wa haraka limepita mbele ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo, ambaye amewataka vijana hao kutojisikia vibaya kwa wazazi na walezi wao kutojumuika nao wakati wa kuhitimu mafunzo kutokanana na tahadhari za maambukizi ya corona.

“CORONA IMEISHA TUTAFUNGUA SHULE ZA MSINGI NA CHEKECHEA HIVI KARIBU” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments