Michezo

Sehemu ya mazungumzo ya Mzee Mpili na Eng.Hersi ‘Mimi nina watu’

on

Mzee Mpili ambae ni mwanachama mwandamizi wa Yanga SC amekutana na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya mashindano wa Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Eng. Hersi Said na kujadiliana nae mambo mbalimbali.

AyoTV imekusogezea hii video hapa ufahamu mazungumzo yao kati ya Mzee Mpili na ENG.Hersi Said

Soma na hizi

Tupia Comments