Mix

VIDEO: Dakika 8 za Maalim Seif, atagombea Urais 2020? ataja anachotaka

on

Leo January 29 2017 kupitia Funguka ya AzamTV katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amehojiwa na kuzungumzia ishu mbalimbali ambapo miongoni mwa maswali aliyojibu ni atagombea tena Urais? chama kimoja kinaweza kuishinda CCM?

ULIPITWA? Tazama picha za juu za video zikionyesha ujenzi wa njia nne Arusha ukiendelea, bonyeza play kwenye hii video hapa juu

Soma na hizi

Tupia Comments