AyoTV

VIDEO: ‘Lengo nikuua upinzani haswa UKAWA’-Maalim Seif

on

Leo April 9 2017 Maalim Seif azungumza Mbele ya waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwaeleza juu ya mwenendo wa Serikali kwa kudai imepanga hujuma za kuuwa upinzani nchini ambapo lengo siyo CUF bali ni upinzani na haswa UKAWA.

Akizungumza na waandishi wa habari aliyaongea haya….>>>>>kile kinachoitwa mgogoro ndani ya CUF si chochote bali ni hujuma zilizo pangwa na zinazoendeshwa na dola na lengo la njama hovu na mbinu chafu hizi siyo CUF, lengo ni upinzani na haswa UKAWA”:- Maalim Seif

VIDEO: Hotuba ya kwanza ya Mbunge Lijualikali tangu alipotoka gerezani

Soma na hizi

Tupia Comments