Top Stories

Nukuu 11 zenye msimamo wa Maalim Seif>> Uchaguzi kurudiwa, Magufuli, Salim Jecha na mengine..

on

Siku chache baada ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Tanzania bara pamoja na visiwani Zanzibar, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Jecha Salim Jecha alitangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo huku akitaja kwamba kulikuwa na changamoto kadhaa alizozitaja kuweka kasoro kwenye uchaguzi huo.

Baada ya hapo zilianza ripoti kadhaa kusogelea vyombo vya habari ikafika wakati hata mataifa makubwa kama Marekani walihitaji mzozo na utata wa uchaguzi wa Zanzibar umalizwe.

Aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CUF leo ameongelea kuhusu kila kitu kilichotokea kuanzia mwanzo wa utata wa matokeo mpaka walipofikia kwa sasa.

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments