Baada ya kuachia audio ya wimbo wake “Good For You” staa wa muziki Marekani Selena Gomez amerudi kutupa video ya ngoma hiyo ambayo ndani staa wa HipHop A$AP Rocky kutoka Marekani ameshirikishwa.
Wimbo huu unapatikana kwenye album mpya ya Selena Gomez iitwayo ‘COP’ unayoweza kuipata kupitia iTunes na kama hujabahatika kuitazama video hiyo mpya karibu uitazame hapa chini mtu wangu.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos