Top Stories

Steve Nyerere, Mkubwa Fella wamechukua fomu zao, Wema Sepetu je? Mcheki hapa..(Pichaz)

on

mail.google.com ii

Leo July 16 2015 Staa wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni na kuchukua Fomu za Kugombea Ubunge, hakutaka kukawiza mambo, kachukua fomu mchana na kurudisha leoleo.

Wema Sepetu je? Si alitangaza kwamba anautaka Ubunge wa Viti Maalum Singinda !!

Zimenifikia hizi picha mtu wangu, Wema Sepetu na watu wake wamefika Ofisi za CCM na kuchukua fomu pia.
mail.google.com

mail.google.comiv

Wema Sepetu na Petitman.

mail.google.comv

photo 1

mail.google.comiii

Wema Sepetu, pembeni yuko Petitman, Mirror, Jordan na watu wake wengine.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments