Habari za Mastaa

Najua ukimya wa Mwasiti @MwasitiJ ulichukua headlines, zipokee hizi kwa sasa.

on

Mwasiti 1Naambiwa hii single mpya ya Mwasiti itawafikia Watanzania wote na fans wake kwa ujumla kuanzia January 13 2014 na itakua single yake ya nane kuitoa toka aanze muziki rasmi mwaka 2006.

hii mpya ameifanya na producer Tuddy Thomas baada ya ukimya wa kutokutoa single yoyote mwaka 2013 huku single yake ya mwisho kuitoa redioni ikiwa ni ‘mapito’ June 2012.
mwasiti 2

Tupia Comments