Michezo

Serena Williams hatua moja mbele kwenye mashindano ya Tennis..

on

_80435167_serena_williams_gettyNyota wa mchezo wa tennis duniani Serena Williams ametinga katika hatua ya nane bora katika michuano ya BNP huko Indian Wells, California

Serena amefanikiwa kufanya vizuri baada ya kumshinda Sloane Stephens anayeshika nafasi ya 33 kwa ubora kwenye mchezo huo Duniani.

Sloane alipoteza mchezo huo baada ya kushindwa kuhimili mikiki ya mpinzani wake aliyekua anacheza kwa juhudi kubwa.

Kwa upande wa Sharapova alishindwa kutamba baada ya kushindwa na  Flavia Pennetta.

Kwenye Facebook, Instagram na Twitter natumia jina la millard ayo mtu wangu, jiunge na mimi niwe nakusogezea kila taarifa inayonifikia, kujiunga na mimi bonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments