Mix

Taji lingine kwa Serena Williams baada ya ushindi huu

on

Serena Williams

Pamoja na Serena Williams kutokuwa katika hali nzuri kiafya baada ya kusumbuliwa na mafua, aliweza kufanya vizuri katika fainali za michuano ya French Open zilizomalika jana.

Serena amefanikiwa kumshinda mpinzani wake Lucie Safarova katika fainali za mashindano ya French Open na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindao hayo.

sere2

Serena mwenye miaka 33 amekuwa ni mchezaji wa tatu kushinda mataji 20 ya peke yake.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

 

Tupia Comments