Michezo

Serena Williams kuwa nje ya uwanja kwa mwaka mzima.

on

Mcheza tennes maarufu duniani kwa ubora Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mzima kutoka na kuwa na majeraha.

Mshindi huyo wa Grand Slam 21 alitolewa kwenye michuano ya wazi ya Wuhan baada ya kuumia na tayari alikuwa ni majeruhi.

Nyota huyo wa tenesi tayari ametoa taarifa ya kupumzika kwake kwa chama cha mchezo wa tenesi kwa wanawake (WTA)

Msimu huu wa 2015 Serena ameshinda mataji ya wazi Australian French Open, French Open na Wimbledon na hakuweza kucheza tena tangu afungwe na Muitaliano Roberta Vinci.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments