Michezo

Sergio Aguero ajiunga na Barcelona

on

FC Barcelona wamemtambulisha rasmi Sergio Aguero kujiunga na kikosi chao hadi 2023.

Aguero anajiunga na FC Barcelona baada ya kudumu na Man City ya England katika kipindi cha miaka 10 (2011-2021).

Aguero amesaini mkataba huo baada ya kupimwa vipimo vya afya mapema leo jijini Barcelona nchini Hispania.

Soma na hizi

Tupia Comments