Top Stories

“Serikali haijazuia mfanyabiashara kuuza mazao nje ya nchi”- Bashe

on

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imesema kuwa haijazuia Wafanyabiashara hapa nchini kuuza mazao yao nje ya Nchi.
kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa kilimo Hussein Bashe wakati wa ziara ya kikazi katika Mkoa wa Katavi.

RAIS MPYA WA GUINEA ALIYEIPINDUA SERIKALI, AFANYA USAFI BARABARANI, BASTOLA KIUNONI

Soma na hizi

Tupia Comments