Serikali imetoa shilingi bilioni 19.47 kwaajili ya kutekeleza miradi ya Afya katika mkoa wa Shinyanga ili kupunguza changamoto ya kufuata huduma hizo kwa umbali mrefu.
Hili limesemwa na Naibu Waziri wa Afya Hii ilikuwa ziara ya Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipotembelea jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga na kukakagua maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Ushetu na kituo cha Afya cha Bulungwa.