Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Serikali imewataka wauguzi na wakunga kusimamia maadili na miiko ya kazi zao
Share
Notification Show More
Latest News
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Serikali imewataka wauguzi na wakunga kusimamia maadili na miiko ya kazi zao
Top Stories

Serikali imewataka wauguzi na wakunga kusimamia maadili na miiko ya kazi zao

March 14, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe katika Ukumbi wa PSSSF Jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha wauguzi na wakunga katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Ameeleza kuwa ili mgonjwa aridhike na huduma inayotolewa kwenye vituo vya afya ni vyema kushirikiana kuanzia ngazi ya chini mpaka juu lengo likiwa ni kutoa huduma bora kwa jamii.

Amewataka kuendana na mahitaji ya watu wanaowahudumia kwa kuwa wanapokuja kupata huduma za kiafya wanaimani kupata huduma bora.

“Mbali ya kujiiona ni waajiriwa unalipwa mshahara lakini pia tuna fungu letu kwa mungu kazi ya uuguzi na ukunga ni ibada niwashuauri tutekeleze majukumu yetu kwa upendo na imani”–amesema Dkt. Shekalaghe

Ametoa rai kwa watendaji hao kuendelea kufanya kazi ikiwa wao ndio wanaempokea mgonjwa kwa hatua ya awali mpaka kujua maendeleo yake.

Amewataka watendaji hao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kutoa huduma iliyokuwa bora kwa wananchi.

“pendaneni, shirikianeni ninyi mkishirikiana mtaweza kutoa huduma iliyobora sababu itakuwa mnafanya kazi kama wamoja”

Naye Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais, TAMISEMI Bi. Amina Mfaki akimuakilisha Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe amewataka watendaji hao kuimarisha utoaji wa huduma bora za afya nchini.

Aidha, ametoa rai kwa viongozi wanatoka katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuendelea kusimamia maadili ya kazi ili kuepusha vitendo vinavyoweza kuharibu kazi na taswira ya kada hiyo.

.
.
.

You Might Also Like

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

Edwin TZA March 14, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson amehutubia Mkutano wwa (IPU) nchini Bahrain
Next Article TMA yatoa angalizo maeneo haya kufuatia Mvua kubwa itakayoanza kunyesha leo na kesho
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?