Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Serikali kujenga vituo 35 vya kidigitali, Waziri Gwajima afunguka haya
Share
Notification Show More
Latest News
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Video: Mo Dewji alivyokutana na Wachezaji wa Simba, kuelekea mchezo dhidi ya Yanga
August 13, 2022
Picha: Kinachojiri kwa Mkapa kwenye mechi ya Watani wa jadi ‘Simba na Yanga’
August 13, 2022
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotokea
August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Serikali kujenga vituo 35 vya kidigitali, Waziri Gwajima afunguka haya
Top Stories

Serikali kujenga vituo 35 vya kidigitali, Waziri Gwajima afunguka haya

April 28, 2022
Share
1 Min Read
.
SHARE

Serikali ya Tanzania imesema ili kumkomboa mtoto wa kike hasa katika masuala ya kidigatali itajenga vituo 35 pamoja na kuziwezesha shule maalum za Wasichana kupata Miundombinu itakayofanikisha mafunzo ya Tehama kwa watoto wa kike.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa programu ya kumuwezesha mtoto wa kike kuapata mafunzo ya tehama Waziri wa Maendeleo ya Jamii wanawake na makundi maalum, Dkt Dorothy Gwajima amesema vituo hivyo vitawawezesha Wasichana kupata mafunzo ya tehama hata baada ya masomo ya kawaida ili kuendana na kasi ya maendeleo ya kidigitali.

.
.

Kwa upande wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii kutoka Serikali ya mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma amesema Zanzibar tayari wamesha anza kutekeleza baadhi ya programu zitakazo muinua mtoto wa kike hasa katika masuala ya teknolojia hivyo ujio wa programu ya Umoja wa mataifa inayotekelezwa nchi 11 barani afrika utaongeza thamani katika mafunzo ya teknolojia.

.
.

You Might Also Like

Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

TAGGED: Waziri Gwajima
Edwin TZA April 28, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article RC alivyoagiza mtendaji awekwe ndani saa 48, tuhuma za kutumia fedha za Wananchi (video+)
Next Article Picha: Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour umenoga Mkoani Arusha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
Sports August 13, 2022
Video: Mo Dewji alivyokutana na Wachezaji wa Simba, kuelekea mchezo dhidi ya Yanga
Sports August 13, 2022
Picha: Kinachojiri kwa Mkapa kwenye mechi ya Watani wa jadi ‘Simba na Yanga’
Sports August 13, 2022
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotokea
Entertainment August 13, 2022

You Might also Like

Entertainment

Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake

August 13, 2022
Entertainment

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani

August 12, 2022
Entertainment

Nandy ametuletea hii video mpya ya wimbo wake akiwa na Oxlade ‘Napona’

August 11, 2022
Entertainment

Meneja wa Diamond ‘Sallam’ atia neno baada ya Kizz Daniel kuwaomba radhi watanzania

August 10, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?