Top Stories

Serikali kupokea ndege mbili, Waziri Mbarawa afunguka ‘Ndege hii zitapokelewa Zanzibar’

on

Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania itapokea ndege mbili ambazo zitapokelewa na Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi.

Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akitoa taarifa hiyo amesema ndege hizo ni aina ya airbus ambazo zinaitwa Tanzanite pamoja na Zanzibar.

MAJALIWA ACHUKIZWA WAMAMA KUTOKEA BARABARANI NA NDOO, AMUITA MHANDISI ‘TUAMBIE UKWELI, HAUJIAMINI’

 

Soma na hizi

Tupia Comments