Top Stories

Serikali yakana kuangushwa Mahakamani, Bilioni 541 zaokolewa (video+)

on

Naibu wakili Mkuu wa serikali Boniface Ruhende amekutana na baraza la wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye ofisi ya wakili mkuu ambapo wamezungumzia dhana ya mawakili wa serikali kushindwa kwenye kesi nakusema si kweli na kwamba mwaka 2020\2021 wamefanikiwa kuokoa Billion 541.

LIVE: KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI – DODOMA

CCTV CAMERA ILIVYOINASA AJALI YA MWENDOKASI NA BODABODA, “WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO” DSM

Tupia Comments