Michezo

Serikali yazindua kadi za kieletroniki za kuingia kwa Mkapa (+picha)

on

Leo September 4, 2020 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amezindua matumizi ya awali ya kadi za kielektroniki zitakazotumika kuingia katika Uwanja wa Benjemini Mkapa katika matukio mbalimbali ya kimichezo.

Soma na hizi

Tupia Comments