Leo June 19, 2017 Taasisi ya Kupambana na Kuzuia na Rushwa ‘TAKUKURU’ ilitangaza kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu, DSM muda huu…bonyeza play hapa chini kutazama!!!
TAKUKURU yatangaza watu wawili inaowapeleka Mahakamani!!!