Habari za Mastaa

Utacheka: Majibu ya Mpoki, Monalisa, Mwasiti kuhusu ubalozi wa Tulia Marathon (+video)

on

Tunayo stori kuhusu Mashindano ya Mbeya Tulia Marathon 2019 yanayolenga kukusanya fedha kwa ajili ya kuboresha Miundombinu ya Elimu na Afya ambayo yanatarajiwa kufanyika Mei 4, 2019.

Mashindano hayo ambayo yapo chini ya Naibu Spika Dk.Tulia Ackson yamepata mabalozi wapya ambao ni Mchekeshaji na Mtangazaji, Mpoki na mtangazaji wa Clouds, Kennedy, msanii wa filamu Monalisa na msanii wa muziki Mwasiti Almas.

Akizungumzia ubalozi huo, Monalisa amesema yeye na wenzake wanashukuru kwa kupata nafasi hiyo ambapo nao watakuwa miongoni mwa washiriki watakaokimbia mkoani Mbeya katika mashindano hayo.

JK COMEDIAN ALIVYOJIFANYA KIKWETE NA KUMPIGIA DOGO JANJA

Soma na hizi

Tupia Comments