Breaking News

FULL VIDEO: Sugu na Masonga wakipelekwa Gerezani Mbeya leo baada ya Hukumu

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuhukumu miezi mitano Jela Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Emmanuel Masonga, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite ambapo amesema ameridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka…. tazama hii video hapa chini kutoka Mahakamani hadi wakipelekwa gerezani.

VIDEO: Sugu alivyofika Mahakamani leo kwa ajili ya hukumu yake, bonyeza play hapa chini kuitazama

Kupata BREAKING NEWS zote papohapo, picha na video za matukio mbalimbali, jiunge na ukurasa wa YouTUBE wa ‘millardayo’ ili kila habari ikiwekwa upate notification papohapo, BONYEZA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments