Michezo

Mazingira mapya ya Steven Gerrard baada ya kuondoka Liverpool…(Pichaz)

on

mansion3Mwishoni mwa msimu huu kiungo wa Liverpool Steven Gerrard atakuwa akiiaga timu yake hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 17 na kuhamia katika klabu mpya ya Galaxy ya Marekani ambapo ametengewa dau kubwa kwa ajili ya kwenda kuitumikia.

mansionGalaxy imemwandali kiungo huyo hatari na kipenzi cha mashabiki wengi maisha mazuri akiwa na timu hiyo ikiwa ni pamoja na mshahara mzuri na jumba la kifahari ambalo unaambiwa thamani yake ni pauni milioni 16.8.

mansion2

Steven Gerrard akiwa na familia yake

Gerrard atahama Liverpool akiwa tayari amedumu kwa miaka 17 sambamba na mkewe Alex na mabinti zake watatu katika jumba hilo lililopo kwenye ufukwe wa Malibu Magharibi mwa Marekani.

mansion3

mansion4

mansion5

mansion6Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments