AyoTV

VIDEO: Shonza kasimama kwa mara ya kwanza Bungeni, Spika asema “Wamenunaaa”

on

Leo November 16, 2017 Juliana Shonza amesimama na kujibu maswali kwa mara ya kwanza Bungeni toka alipoteuliwa na Rais JPM kuwa Naibu Waziri Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo.

Spika wa Bunge Job Ndugai alionyesha kukubaliana na uwezo wake wa kujibu maswali huku akishangiliwa kisha akasema “wamenunaaa!!” …..hii video hapa chini itakuonyesha ilivyokua

VIDEO: “HILI NI TATIZO LAZIMA TUJUE TUNAKWENDA WAPI” – HUSSEIN BASHE… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA AKITIRIRIKA BUNGENI LEO

Soma na hizi

Tupia Comments