AyoTV

VIDEO: Shilole alivyoongea Kiingereza na Mashabiki Wasafi Beach Party

on

Shilole ni mwigizaji/msanii wa bongofleva ambaye alitangaza wazi kutafuta Mwalimu wa Kiingereza sababu anatamani siku moja awe mzungumzaji mzuri wa lugha hiyo, pamoja na kupenda kujifunza huwa haoni noma pia kukizungumza kilekile kinachomtoka, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Shilole alivyofanya party isiyo na jina home kwake, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Vodacom Wasafi Beach Party 2016, Diamond, Vera Sidika na wengine

Soma na hizi

Tupia Comments