Videos

VideoMPYA: Unakaribishwa kuitazama video mpya ya Shilole ft Barnaba ‘Say My Name’

on

Mrembo mwenye headlines zake nyingi Bongoflevani, Shilole a.k.a Shishi Baby kwa kushirikiana na Barnaba wanatualika kutazama video yao mpya ‘Say My Name’ na ukishaitazama uiache comment yako hapa chini Shilole na Barnabara watapita baada kuzisoma 

ULIIKOSA HII YA SHILOLE ALIVYOKUWA MHUDUMU WA HOTELI NA KUMTONGOZA RAY? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments