Videos

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Shetta kaachia video yake mpya, itazame hapa..

on

May 6, 2016 Shetta ametimiza ahadi ya kutupa video yake mpya inayoambatana na ujio wake mpya ambapo hii kazi imefanywa na director Nic Roux  aliyehusika kwenye utengenezaji wa video kadhaa ikiwemo ya AKA ft Diamond Platnumz Make me sing, Harmonize ft Diamond Platnumz Bado na video ya kundi la Mavins ‘Dorobucci’

Umeionaje video na wimbo wenyewe? Shetta atapenda kuisoma comment yako hapa chini mtu wangu

DIAMOND HATAKI TENA KUSHIKA SIMU YA MPENZI WAKE, HII MSG NDIO ILIMUUMIZA SIKU AMESHIKA…. TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments