AyoTV

Maamuzi ya Waziri Nchemba leo akiwa Morogoro (+Video)

on

January 3, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza vijana sita ambao wanafanyakazi ya kujitolea katika mradi wa kiwanda wa cha sukari cha Mbigiri Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro majina yao yapelekwe wizarani wapate ajira ya kudumu.

Hatua hiyo imefikia baada ya Waziri Nchemba kufika kiwandani hapo na kupata taarifa ya kuhusu vijana hao sita wenye taaluma mbalimbali ambao wamekuwa wakijitolea kufanya kazi bila malipo kwa miezi sita.

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu imezungumza kuhusu wadaiwa sugu wa mikopo

Soma na hizi

Tupia Comments