Habari za Mastaa

#Goodnews mdundo mpya wa Shaa ‘Toba’ kutambulishwa leo kwenye MTV Base!

on

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Shaa leo jioni ataziandika headlines kwenye kituo kikubwa cha burudani Africa, MTV Base pale ambapo video yake mpya ‘Toba’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo hicho kama #SpankingNew!

shaaa

Kupitia page yake ya Instagram @shaa_tz, Shaa amepost kipande cha video hiyo na caption ya maneno inayosema…

>>>#TOBA Icheki full video leo jioni saa 12 EAT… ambayo ni saa 1o jioni ya WAT… ndani ya @mtvbaseafrica Video directed by @gorilla_films @icandicam” <<< @shaa_tz.

shaaa3

Video Director wa mdundo huu si mwengine bali ni Justin Campos kutoka South Africa ambaye mikono yake pia imehusikia kwenye latest music video ya ‘Don’t Bother’ ya mkali kutoka WEUSI, Joh Makini na pia kwenye latest hit video single ‘Never Ever’ ya mtu wetu Vanessa Mdee.

Hapa chini ni sekunde 15 za muonekano wa video mpya ya Shaa ‘Toba’, bonyeza play kuinasa moja kwa moja.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments