AyoTV

#AyoTV Sekunde 50 za video mpya ya Shaa ikiwa inatengenezwa Manzese. @Shaa_Tz

on

Screen Shot 2014-05-19 at 3.54.10 AMAkiwa ni miongoni mwa wasanii wenye majina yao Tanzania na hata kwenye nchi jirani, mwimbaji Shaa atarudi tena kwenye spika zako na kwenye TV yako hivi karibuni akiwa na sound mpya ya single yake ambayo mazingira ya kiswahili/Kitanzania yamehusika ndani yake.

Hii ni May 18 2014 wakati akiifanya video ya single hii iitwayo ‘subira’ maeneo ya Manzese Dar es salaam kupitia mikono ya Director anaepewa heshima kila siku kutokana na mikono yake kuhusika kuzipeleka mbali video za kitanzania…. Adam Juma kutoka Next level.

Wakati ukiwa tayari kupokea video mpya unaweza kutumia sekunde zako kucheki jinsi utengenezwaji wenyewe ulivyofanyika kisha uache maoni yako yatakayosomwa baadae jioni.

Pata stori zote hizi na mengine yanayonifikia usiku na mchana kwa kujiunga na mimi Twitter instagram na facebook kwa kubonyeza hapa >>> TWITTER INSTA & FB

Tupia Comments