Habari za Mastaa

Shabiki alivyomdondokea Alikiba miguuni na kumwaga machozi jukwaani Buza

on

NI Kutoka Buza kwenye show iliyopewa jina la (Memes DAY) siku ya Vibonzo iliyoandaliwa na kipindi cha Leo Tena kinachorushwa Radio Clouds FM, sasa miongoni niliyokusogezea ni kuhusu Shabiki aliepanda jukwaani huku akilia kwa furaha baada ya mkali Alikiba kupanda jukwaani kuimba live.

Soma na hizi

Tupia Comments