Ni Headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Diamond Platnumz ambae kwasasa yuko nchini Ivory Coast kwa ajili ya ziara yake ya kimuziki.
Sasa miongoni yaliyojitokeza ni hii ya shabiki aliyeibuka kwenye mkutano wa waandishi wa habari huku akilia na kueleza upendo wake juu ya msanii huyo.