AyoTV

VIDEO: Makubwa aliyochangia Shabiby ndani ya dk 10 kwenye Bajeti Kuu 2017/18

on

Mbunge wa Gairo Ahmed  Shabiby ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma June 13, 2017 ili kutoa mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na kufutwa kodi ya magari ‘Road License’…

VIDEO: Lissu afunguka kuhusu madini ‘Mungu anasikia.. mtaniambia’ 

Soma na hizi

Tupia Comments