Top Stories

Shahidi akwamisha Kesi ya Mbowe, Jamhuri watoa taarifa ‘Anaumwa’ (video+)

on

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeshindwa kuendelea na ushahidi wa kesi ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa sababu shahidi anaumwa.

KESI YA MBOWE: MWANASHERIA ALIVYOCHUNGUZA NAMBA ZA MBOWE ,ASEMA HAMJUI KAMA NI M/KITI CHADEMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments