Top Stories

Shahidi kesi ya Sabaya adai hajui kilichompeleka Mahakamani “Siamini” (video+)

on

Shahidi wa 5 katika kesi ya unyang’anyi wakutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Sabaya na wenzake Silvester Nyegu na Daniel Mbura hajawahi kumuona Sabaya akiwa anaiba au akiwa na Bastola akiongozwa na mwendesha mashtaka wa Serikali Tumaini Kweka mbele ya hakimu mfawidhi Odira Amworo amesema February 9 2021, aliwaona wasaidizi wawili wa wakiwa na bastola mbili na radio call moja.

 

SHAHIDI KESI YA SABAYA ALIVYOOMBWA MILIONI 70 ILI AACHIWE “ALILETEWA WINE NA WALI”

MACHINGA ALIVYOPORWA ELFU 35 NA SABAYA NA KUPIGWA MAKOFI “DAMU PUANI” (MAHAKAMANI)

 

Tupia Comments