Michezo

Alichopost Shakira Facebook kuhusu Pique kumkataza kufanya video na wanaume

on

article-2421043-1BD5B34E000005DC-19_634x930Wiki chache zilizopita mwanamuziki Shakira alikaririwa akisema kwamba mchumba wake ambaye ni mwanasoka wa klabu ya FC Barcelona Gerard Pique amemkataza kuendelea kufanya video na models wa kiume. Kauli hiyo ya Shakira ambaye anatamba na ngoma yake ya ‘Cant Remember to Forget You’ ilitengeneza vichwa vya habari vingi sana.

Sasa ikiwa zimepita siku kadhaa mwanamuziki huyo raia wa Colombia jana alitumia mtandao wa Facebook kupitia akaunti yake rasmi na kusema kwamba alikuwa anatania na sio kweli kwamba Pique amemkataza kushirikiana na models wa kiume kwenye videos zake.

SHAKIRA copyque

Tupia Comments