Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Shamrashamra za ubingwa wa NBC Premier Ligi, Yanga Bingwa
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Shamrashamra za ubingwa wa NBC Premier Ligi, Yanga Bingwa
Sports

Shamrashamra za ubingwa wa NBC Premier Ligi, Yanga Bingwa

June 25, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

Rais wa Shirikisho la Soka TFF, Wallace Karia (kulia) akizungumza jambo na viongozi mbalimbali akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto (wa kwanza kutoka kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera (wapili kutoka kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa (wa tatu) na Mkurugenzi Mkuu wa NBC, Theobald Sabi.Kwenye katika hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC jana Juni 26, 2022 kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Matukio mbalimbali ya picha 📸kwenye hafla ya kukabidhi kombe kwa bingwa wa NBC Premier League 2021/22 Young Africans baada ya mechi dhidi ya Mbeya City iliyofanyika Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Wachezaji wa klabu ya Yanga SC wakishangilia mara baada ya kukabidhiwa rasmi Kombe la Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2021/22. Yanga imetwa kombe hilo la Ligi Kuu ikiwa ni mara ya 28 katika historia ya klabu hiyo. @yangasc1935

Marefa wakikabidhiwa medali baada ya mechi kuisha

Warembo waliopewa dhamana ya kulibeba Kombe la NBC premier League 2021/2022 na kulileta uwanjani
Warembo waliopewa dhamana ya kulibeba Kombe la NBC premier League 2021/2022 na kulileta uwanjani wakiwa na Medali mbali za washindi

Mkurugenzi mkuu wa NBC Theobald Sabi AKiwa ameketi kwenye Meza kuu na Viongozi waandamizi wa TFF na Serikali Wakisubiri kuanza kwa Mtanange baina ya Mbeya city na Yanga

You Might Also Like

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

TAGGED: michezo
Pascal Mwakyoma TZA June 25, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Somo la historia ya Tanzania kuanza mwakani
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 26, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?