Top Stories

Shamsi Vuai Nahodha achukua fomu ya kugombea Urais, atoa ahadi mambo 3 (+video)

on

Kutokea Visiwani Zanzibar leo June 18, 2020 Zoezi la uchukuaji fomu limeendelea ambapo Shamsi Vuai Nahodha amechukua Fomu ya Kuwania Urais Zanzibar Kupitia CCM.

“STENDI SIO JESHINI MSIWARUSHE KICHURACHURA, ONDOA WAPIGA DEBE” RAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO MAZITO

 

Soma na hizi

Tupia Comments