AyoTV

EXCLUSIVE: ‘Ukweli sina mimba, nilifanya vile kwa sababu’ Nisha

on

Siku za karibuni staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha bebee alionekana kuwa ni mjamzito kwa madai kuwa alipata mimba hiyo mara baada ya kubakwa, leo amekubali kukaa na AyoTV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali alifanya vile kwa sababu alizozitaja hapa kwenye hii video…

EXCLUSIVE: Nisha Interview kuhusu maisha, kazi na mapenzi. 

Soma na hizi

Tupia Comments