Habari za Mastaa

Shangwe alilopewa Cardi B baada ya kupandishwa na Migos jukwaani “Summer Jam” (Video+)

on

NI  Headlines za kundi la muziki kutokea nchini Marekani, Migos ambapo time hii wanamiliki Vichwa vya Habari baada ya kumpandisha kwa mara ya pili Cardi B katika jukwaa la Tamasha la Summer Jam 2021.

Tamasha hilo lillifanyika New York, hii inakuwa ni mara ya pili kwa Cardi B kutokea jukwaani huku akiwa Mjamzito

Ikumbukwe mara ya kwanza akiwa katika muonekano huo alipanda katika jukwaa la BET 2021.

Unaweza ukabonyeza play hapa kutazama kile kilichojiri katika tamasha hilo Summer Jam lililoandaliwa na Hot 97.

 

ZUCHU AFUNGUKA KUPIGIWA SIMU NA RAIS SAMIA JUKWAANI “NILISHTUKA SANA, SIKUTARAJIA”

RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU ZUCHU KWENYE STAGE AKIWA ZANZIBAR, “RAIS ANATUSIKILIZA HAPA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments