Michezo

Shangwe za mashabiki wa Yanga na Simba Kigoma (+picha)

on

Mashabiki wa Simba Sport Club katika eneo la Darajani Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma wamelazimika kula vyakula mbalimbali pamoja na kucheza mdundiko baada ya timu yao kufungwa na watani wao wa jadi Yanga katika fainali za Mapinduzi visiwani Zanzibar.

Huu ni utaraitbu wa muda mrefu kwa mashabiki wa Simba na Yanga kupata nafasi ya kufurahia ushindi baada ya timu moja kuifunga nyingine, sasa kwa siku ya jana baada ya Dar Young African kuibuka mshindi mashabiki wa Simba leo imekuwa siku mbaya kwao.

Hizi ni picha zikionesha hali ilivyokuwa Mkoani Kigoma mashabiki wa Simba na Yanga.

MAPYA YA ‘MGANGA’ WA SIMBA “ANGEFUNGA ANGEKUFA, NINA PAKA 40, BILA UCHAWI HAWASHINDI”

Soma na hizi

Tupia Comments