AyoTV

VIDEO: Mtazame huyu anaeigilizia sauti ya J.Kikwete na Dr. Magufuli uniambie kampatia nani

on

Kuna watu wanaweza kuigiza sauti ya mtu alafu ukiwasikiliza unacheka na kubaki mdomo wazi… huyu jamaa ni miongoni mwa hao Mamaster, mtazame anaitwa Shaphii Omary kwenye hii video alafu uniachie comment chini kuniambia kampatia nani zaidi mtu wangu.

KUTANA NA HUYU MCHEKESHAJI ALIYEIIGILIZIA SAUTI YA RAIS MAGUFULI…. JINA LAKE NI MLUGALUGA, MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments